Lyrics: Rehema Chimah Music: Lila Dawa Chimah Feat Centano - Wako Remix
Verse 1 I wish I can text you baby, Nkwambie coz I wish I could face you baby, Oooh Yaani Nawish you can be all mine, so baby please don't lie basi Nambie Uko single oh Nambie Uko single
Acha Nkwambie tu hzo picha zako zinanichanganya, Aah we uzuri wako mi unanichanganya, Na hizo pozi kwenye video zako zinanichanganya, Nataman niwe wako maana mi umenichanganya,
Usinifanyie hvyo baby don't lie, Usinifanyie hvyo eeh usinichunie niweke nitulie niwe
Wako wako oh oh oooh Wako wako oh oh ooooh niwe Wako wako oh oh oooooh Wako wako oh oh ooooh
Verse 2
Mtu Mzima atupiwi maneno jisogeze nikueleze, nipe nafasi niseme nawe Kama wimbo nibembeleze, Nikikutazama najionea raha kama Nyota mchana Usiku we ndo taa, Moyoni umezama umenishika haswa mpaka naogopa
Acha Nkwambie tu hzo picha zako zinanichanganya, Ah we uzuri wako mi umenichanganya, Na hizo pozi kwenye video zako zinanichanganya, Natamani niwe wako maana umenichanganya
Niwe wako wako oh oh oooh wako wako oh oh Oooh niwe wako wako oh oh ooooh Wako wako oh oh oooooh