kAMATIA CHINI

Lyrics: MARK MUNGAI WANJIRU/EUGINE OMONDI OYOO Music: MARK MUNGAI WANJIRU/EUGINE OMONDI OYOO Ah check check chuu chuuu Aah aah chuu chuu Aah Angry Panda Under mickey Cheki cheki Napenda uki biringika Kiuno hewani cheki zinatingika Songa na mdundo wote warudi chupa We ni msupa mwili bila mfupa Kamatia chini Kamatia chini Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini Kamatia chini Kamatia chini Kamata kamata Kwani ujiamini Kamatia chini Kamatia chini Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini Kamatia chini Kamatia chini Kamata kamata Kwani iko nini? Kamatia chini my lady jiamini Kwani iko nini shukisha hio mini Vile una tingisha unasimamisha abdala Unafanya na chachisha mbaka naleta wahala Nyuma ni mtungi ndio maana sijifungi Vile zimebundi naona nikama movie Zangu zimeshika siezi nikashikika Zime wai wai we kohoa ntaitika Vile umejibeba bana aki ya nani Manze umeniweza bana we ni wa nani Amka penduka, zinatiririka Napenda ukipenduka nikama unaaibika Kiuno kaa mcongo inafanya niwe nugu Ruka kwa mgongo nguvu ni za umundu Baby shika chini tukidance culu culu Tupige ma scene tukichachisha kwa mbulu Kamatia chini Kamatia chini Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini Kamatia chini Kamatia chini Kamata kamata Kwani ujiamini Kamatia chini Kamatia chini Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini Kamatia chini Kamatia chini Kamata kamata Kwani iko nini? Ahh Tulia apa goshodo nataka nikupange Sina panga lakini napanga nikukate Una meze shaa watu mate Uki kamatia kamatia yani Mtaka cha mvunguni sharti ainame, na Ukinipatia nipee kaa umeinama Unapiga deki mummy na mi hapo nimesimama Kindukulu na matisha bila ata kubahatisha Unakamatia mbaka nashindwa ata na kulala Chai ata ikiwa moto aiwezi ikawasha sigara Na naona umejipamba mbaka umepaka maskara We ni kakitu we ni ka odidi odada, na Unakaa fiti kwanza na ako kamini Ningeza ningekudishi ukose ata kuamini Kanini vuruta ako kamini Pandisha ukishukisha kaa manyanga ya mjini Kamatia chini Kamatia chini Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini Kamatia chini Kamatia chini Kamata kamata Kwani ujiamini Kamatia chini Kamatia chini Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini Kamatia chini Kamatia chini Kamata kamata Kwani iko nini? Kalia dandia nikaa unapanda ngamia Tafuta pia mahali unaweza jishikilia Sister napenda vile umejivalia aah Wololo yayoo mama mia Miukuwa na kamdenge kembamba Kafupi kazuri kamerogama Mkamba goshodo bana kamenibamba Bam bam kazuri sana figure ni tam tam njoo unipe mahanjam Kamata pakata sakata parakata Kama nyuma iko sawa kamata ukipata Pinda mgongo kaa njia za mwongo Bingili bingili kaa batoto baa kongoo Ukijifanya tumbili unapelekwa mitini Kiuno ni konki bana kama mashini Aya basi twende cheza na hio tempo Napenda your umbo inatesa my fimbo Kamatia chini Kamatia chini Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini Kamatia chini Kamatia chini Kamata kamata Kwani ujiamini Kamatia chini Kamatia chini Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini Kamatia chini Kamatia chini Kamata kamata Kwani iko nini?