Lyrics: Mathias James Lekule Music: Mathias James Lekule Intro
Lody Music On This One
Korogwe Finest!!
Verse 1 Mapenzi Adhabu hasa Unampenda akiwa wa Ajabu/ Atakufunza Adabu Utatamani chupa iwe Dhahabu./ Utakesha kwa Babu Mashuhuri wa Vitabu/ Hutopata Ushauri zaidi Wakuongezee Tabu../
Hayana formula,hayatabiriki Boy... Mwenye PHD anagongewa na Shamba Boi./ Na kule Home Boi,wazi yanafanyika Matusi/ Dada wa Kazi Kapindua Meza ndo Mother House./
Na huyo huyo shoga yako mnaekutana Chimbo./ Kwa AMANI KUCHA au saloon ya Mama Kimbo/ Ndo Anamchukua Mume alafu anajifanya Single/ Anamchuna anakipa KibenTen cha Mabibo../
Ndo maana, usiku wa Manane anarudi,./ Ukimuuliza lazima mgombane anabugi./ Roho inakuuma anavunja Pendo Makusudi./ Na hata Tendo anafanya Kinyonge hana Mood. … Verse 2 Utashangaa Unapiga simu hapokei,/ Yuko online whatsp ila bluetick haitokei/ Unalala Unahesabu Bati na hata Mida haisogei/ Juice ya Miwa yaani unaweka na Sukari Haikolei./
Achana nayo kama huna kitu Yatakutesa,/ Maaana Utashindwa kusoma Mapenzi yana Lugha ya Pesa../ Kesha,Tafuta Hela Jikaze Bro./ Wadada wanataka Kucha na Lotion za kuGlow/
Ila Kuna Muda Pia ,wenye Pesa Wanaumia./ Wengi sana wameuziwa Mbuzi kwenye Gunia/ Nishaona Mengi ya Ajabu Ndani ya Hii Dunia/ Mchepuko ukapewa Ndogo alafu Mume akabaniwa/
Hakuna Mjinga wala Mjanja Kaka,/ Hakuna Bingwa Kamuulize Doctor Mwaka/ Achana na Data kuwa nae fanya Maisha/ Maaana Ukimchunguza Bata ,Utaacha Utapika Mchicha/
Chorous
Kuchiti kuna raha yake ndo maneno wanajitetea/ Mkweli kwenye sura Yake,kwen… Outro
Unapopendwa Mara Nyingi,wqe nenda mara chache/ Maana hata Kuku hula sawa na Mdomo wake/ Akili zao zinabadilika Wanawake../ Toa laki Mwenzako anatoa Buku ila Shangwe../ Moyo unavunjika Nyang'aNyang'a Nyang'aNyang'a
Moyo utavunjika Nyang'aNyang'a Nyang'aNyang'a