Music: Rai Norman Ngani Hitman Ting Hitman Ting Badman Ting Badman Ting
Madem wanachaa...at, pon insta Wanalike double ta...ap, facebook and twitter Huyu dem anacha...aat, pon insta Anadai anaka...aam, huyu mami amejipa
Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza
Ninawaeleza ni danger Vuva na Razor Mguu juu ya meza Vile si hucheza Ni tatu na nne Na Sero ako indeh Na tenje ni mteja ju niko kwa keja Mafans wanawika venye si hutesa Mziki naeneza Tembeza na dere, Wabebe endesha Collabo ni major hakuna kucheza waah Ni ku weka weka nikislide in Ni ku teka teka kidesign mi hu Jenga jenga bila pressure hutapenda Leo nina kesha baby nipe tender
Huyu dem anacha...aat, pon insta Anadai anaka...aam, huyu mami amejipa
Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza
Hii verse ni jeneza Cheki wakisepa Drinks na ketepa Mangoko kwenye meza Mchekeshe mchekeshe Ghai si ni mticklish Washa kindukulu Ghai we ni delicious Picki picki ponki Manoti kwenye longi Pongi iko soggy Dem wa Thika calling Kipussy kiLucy Ghai sikigusi Ghai sikinusi Sahii hakinuki So me naslide in Badman Ting Badman Ting Hitman Ting Hitman Ting No one Ting No one Ting Nikislide in its a bad ting Badman Ting Badman Ting Skylarking, Skyarking No one Ting No one Ting Nikislide in its a bad ting
Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza
Mh Zimeshika na kigat Tangu jana nilistart, zikanisho tu ni kuchat Kwenye insta nikajump Mimi pale double tap pressure nayo ka ya pump Exes wote nilidump Cause these bitches acting dumb Hol u..up, baby take a minute My eyes on yeah you know I'm gonna dig it Fast lane we be pushing to the limit I'm that guy, so you know that amma get it Bad guy, mami huko ndani mi nadai Mchezo paka panya mi sidai Ju niko on tunaeza seti tu kingwai Tupige story tukijenga hio vibe Your too fly, ai Basi mami piga whine
Madem wanachaa...at, pon insta Wanalike double ta...ap, facebook and twitter Huyu dem anacha...aat, pon insta Anadai anaka...aam, huyu mami amejipa
Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza Nami naTeleza, Teleza Teleza Ki Nebukatineza