Lyrics: Haitham Ghazal Seif
Music: Haitham Ghazal Seif
Ukaniumiza Remix
VERSE 1 DAYOO
Kwanza nianze nikusifie
ooh baby we oh baby we
Na ulivyo sawa kama umejiumba mwenyewe
Umewazidi wenyewe
Kwanza hotoki bila sababu (ayaayaaa)
Unawapa tabu,
wanapenda kukuona (ayaayaaa)
Wanapenda kukuona
Penzi ooh penzi kipindi kipo hewani radio
Siwezi ooh siwezi kuki kosakosa
Warida Waridadi ushanipa mi midadi
Penzi ngurumo ya radi
Panapo Kosa basi ni judge
Maana mlenda wake magadi
Naogopa kutapa kama mfa maji
Basi Usije ukaniumiza (ukaniumiza)
Ukaja nawe danganyika (danganyika)
Basi Usije ukaniumiza ahh (ukaniumiza)
Ukaja nawe danganyika (danganyika)
VERSE 2 LODY MUSIC
Nakiri kwenye moyo we pekee ndio upo ndani
Na kama kuna matatizo nielekeze hatushindani
Si wanasema penzi jela niko radhi uniweke ndani
Usije ukanipa likizo kisa maneno ya majirani
Najua ulishatendwa huko nyuma usikumbushe nitalia
Kwangu utapata mapenzi sijasomea ubondia
Mwenzako sipendi kuona ukinuna na ndio maana nakutania
Kwangu mwendo wa makange sikulishi nguna bamia
Mmmh mmh mmh
Warida Waridadi ushanipa mi midadi
Penzi ngurumo ya radi
Panapo Kosa basi ni judge
Maana mlenda wake magadi
Naogopa kutapa kama mfa maji
Basi Usije ukaniumiza (ukaniumiza)
Ukaja nawe danganyika (danganyika)
Basi Usije ukaniumiza ahh (ukaniumiza)
Ukaja nawe danganyika (danganyika)