Masheesha (feat. Bensoul)

Music: Kenneth Muya/Wachira Gatama/Mordecai"Dex"Mwini/Benson Mutua Lyrics: Mordecai"Dex"Mwini/Kenneth Muya/Wachira Gatama H_ART THE BAND - MASHEESHA FT. BENSOUL.
INTRO.
So we are, H_art the Band H underscore A R T the Band Hahaha And the big man himself Bensoul 254 And Cedo hahaha
VERSE 1.
Msupa wangu anataka Masheesha Na kwa mfuko pesa zangu zimeisha Na yule waiter ananitisha Ati mabouncer atawaita Na huyu dame bado anaitisha Na mi nashindwa sasa vile nitazusha Tulipatana juzi kwenye Insta-gram Na mi sitaki choma picha
PRE-CHORUS.
Itakua ngori, skiza story Wacha kucheka hii ni ngori Nilimuacha bila sorry
CHORUS.
Na Ukicheza utapatana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha) Utapatana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha) Utapatana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha) Patana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha)
VERSE 2.
Kwenye profile mimi ni lawyer Kizungu tamu kama ile ya Lumumba Lakini ukweli mimi ni hawker Nina thao mbili manze leo kulithoka Makanjo walinishika Hata ni bahati stenje bado sijafika Na huyu dem bado zake hazijashika Mzinga tatu sasa zimekatika
PRE-CHORUS.
Itakua ngori, skiza story Wacha kucheka hii ni ngori Nilimuacha bila sorry
CHORUS.
Na Ukicheza utapatana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha) Utapatana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha) Utapatana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha) Patana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha)
BRIDGE.
Sasa nawaza vile nitaenda choo Nitorokee huko nyuma backdoor Akinisaka asinipate ng'o Akiuliza aambiwe nimego Lakini vile ni kuchomoka Yule waiter akaniona Na hio bill akaidrop Na kwa mfuko mimi sina hata bob
PRE-CHORUS.
Itakua ngori, skiza story Wacha kucheka hii ni ngori Nilimuacha bila sorry
CHORUS.
Na Ukicheza utapatana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha) Utapatana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha) Utapatana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha) Patana naye, patana naye, patana na yeye, (Dame wa Masheesha)
Written by : H_ART THE BAND, BENSON "BENSOUL" MUTUA