Lyrics: Baraka Shujaa
Music: Pablo Fernandez
Ooh Baba Ohh baba
Maisha ni magumu napitia
Niende kushoto ama kulia
Nifute machozi nikilia
Baba nibadilishe tabia
Ndoto znavunjika hamna Cha kutiana moyo
Chanzo chiku na wivu sababu kibwa ni uchoyo
Skia nipunnguzie marafiki wapotovu
Nisilipate jeraha niepushe staki makovu
Hekama na maarifa ndo maisha ya wokovu
Baba niepushe na ndugu zangu waovu
Nakata tamaa muda nikijiona nikifeli
Mbona nsijenge jina ka biggy na makaveli
Ushujaa umeniingia kujaribu naona heri
Kama furaha ndo kilele Cha mafanikio
Basi niondolee karaa mi kwangu kilio
Sjioni kama mimi mimi mimi
Mimi mimi mimi mimi
Najiona mwengine mwengine mwengine
Mwengine mwengine mwengine mwengine
Sjioni kama mimi mimi mimi
Mimi mimi mimi mimi
Najiona mwengine mwengine mwengine
Mwengine mwengine mwengine mwengine
Sijiona kama mimi mi
Sijiona kama mimi mi
Najiona mwengine mwengine mwengine
Mwengine mwengine mwengine mwengine
Yeah, Nina jumba la kifalme
Leo hii halinifai, halinifai
Nmelazwa kwenye kitanda, Cha hosi mi nataka uhai
Marafiki tulofutana bega, Leo hii siwaoni
Wauguzi wanajaribu kuniponya mi sioni
Kiukweli naona jibrili anasongea
Na muda si mchache maisha yangu yatapotea
Gari langu la thamanai garaji laningojea
Na siezi simama tena nipo kwenye wheel chair
Nina castle la fahali mashamba na raslimali
Havina maana tena zaidi ya shiti la hospitali
Nilofunikwa nalo coz nahisi baridi kali
Pesa zote nlizo nazo benki hazinifai
Sjioni kama mimi mimi mimi
Mimi mimi mimi mimi
Najiona mwengine mwengine mwengine
Mwengine mwengine mwengine mwengine
Sjioni kama mimi mimi mimi
Mimi mimi mimi mimi
Najiona mwengine mwengine mwengine
Mwengine mwengine mwengine mwengine
Sijiona kama mimi mi
Sijiona kama mimi mi
Najiona mwengine mwengine mwengine
Mwengine mwengine mwengine mwengine
Sijiona kama mimi mi
Sijiona kama mimi mi
Najiona mwengine mwengine mwengine
Mwengine mwengine mwengine mwengine
Yeah yeah, life in a two way to face rhymes men
You either make it or break it!
Sjioni kama mimi mimi mimi
Mimi mimi mimi mimi
Najiona mwengine mwengine mwengine
Mwengine mwengine mwengine mwengine
Sjioni kama mimi mimi mimi
Mimi mimi mimi mimi
Najiona mwengine mwengine mwengine
Mwengine mwengine mwengine mwengine
Sijiona kama mi!