Music: Elijah Omolo Akidai hanidai anacap Huwezi ficha White ukishajiweka map Nilimpata malap Nikichora hizi rap Akamuja kama Uber Na sisemi chapchap
Niko ease Leta hiyo till Paybill nifulize Kuja tu tuchill Si lazima unipulize Antaka twende date Ya ma_wine na ma_grape Cocktails Oxtail alafu mwisho ni mandize Shawrry got me in a jam Get it how I live Yeah I get it while a can Ni m_fly kama dove She the bomb, Molotov Big shout out to Aye Novv This was never in the plan Niko up bila drama Zungusha hiyo kiuno, ukitaka piga sama Hatutaandamana ka nlikupata jana Huskii siwezi dunda klabu imejaa wamama
Akidai hanidai anacap Huwezi ficha white ukishajiweka map Nilimpata malap, nikichora hizi rap Akamuja kama Uber, na sisemi chapchap Akidai hanidai anadanganya Na ka ni manzi yako, we jua nmekunyang'anya Sipendangi madranya hupenda kujifanya Wa kubebwa abebwe Me husonga kama nganya
Ushai date mmama, zii Unampeleka coffee date na bado unatii Huskii me niko free, nakuanga na bidii Tupange na alphabet, bado me ndiye G Kwa lasagna Silent, close to the "n", we ni learner High end, bado me huzunguka kama karma By then, nakuanga nimelima toka sun up to sundown, son of the soil, me ni farmer Ananiuliza "Ssadi, slim nigga, utawezana?" We si unianikie uone kila nitafanya Sichukuangi ma_number, we tumalizane hapa Msema kesho ni mwongo Na ni worse kuliko jana Bien-sรปr, najua nyi mmezoea Bien ule Baraza Obscur, c'est l'artiste mwenye hatajitangaza One two, mic check, salut Nlianza na genge, hii ni Arbantone ya Kifaransa Wacha niwashow siku ya kwanza tulilink Woke up in the kitchen Simu nkaipata kwa sink Nkauliza form ni which Witch hunter na matick Ni mchezaji kwenye pitch Hupenda kugwara winch Nilimwokota Mint, pale Sato Coastline after kudishi Pale beans na machapo What's fine? Ebu kiche Mali clean Ikishamezeshwa gin Close line Alnipiga hiyo tuki tapo hapo Ni vitu nmezoea Hadi uniletee kikalamu stachorea Si miracle ya Dea na ni truth bila dare We ka hapo ukijua Wa kupea atakupea
Akidai hanidai anacap Huwezi ficha White ukishajiweka map Nilimpata malap Nikichora hizi rap Akamuja kama Uber Na sisemi chapchap Akidai hanidai anadanganya Na ka ni manzi yako We jua nmekunyang'anya Sipendangi madranya Hupenda kujifanya Wa kubebwa abebwe Me husonga kama nganya