Lyrics: Cleva Junior
Music: Cleva Junior
Lyrics:
(Verse-01)
Kweli mi nakupenda(Iii mi sitaki)
Wanifanya nakonda(Usini laghai)
Kubali uwe wangu(Mmh mi sipendi )
Unautesa moyo wangu(Mimi bado mwanafunzi)
Aaah
Nifanye njni ili unielewe
Nikupe nini ili niwe na wewe
Utacho taka nitakununulia
Kubalj basi(Iiiih )
Chips kuku bata utakula
Tutakwenda
Takupa mikwanja
Umekubali(Akaah
Usiniharibie masomo yangu mie)
(Chorus)
(Nifanye nini ili uwe na mie
Nikupe nini unikubalie
Gari je(Iiiih)
Nyumba je(Iiiihh)
Jamaaani)×2
(Verse-02)
Nini unaogopa
Mbona unasitasita
Kama ukisema yes
Kwangu itakua freesh
Nita ringa ringa ringa mimi
Ringa ringa
Nitahisi napaa ile very far
Nitajawa na furaa full raa
If you give me chance
I will love you more
I wanna not let you go
If you come with me
I will handle you
Baby I wanna handle uou
(Chorus)
(Nifanye nini ili uwe na mie
Nikupe nini unikubalie
Gari je(Iiiih)
Nyumba je(Iiiihh)
Jamaaani)×2
(Verse-03)
Daima(Abee)
Pliizi nielewe
Kaliua to mafia
Bendera ipepee(mmmh!)
Mi sio fataki nikupe mishikaki
Nikutumie nikuchezee
Nikuchoke nikubwage
Chips kuku bata utakula
Tutakwenda viwanja takupa mikwanja
Umekubaaali(Akaah usiniharibie ndoto zangu mie)
Hey Babygal
Sa we nini unatakaga
Please we tu semaga
Hata nikiwa sina nitatafutaga
Kuliko ukinidiss Noma noma sana
Kwa ninavyo ku feel Noma Noma sana
(Chorus)
(Nifanye nini ili uwe na mie
Nikupe nini unikubalie
Gari je(Iiiih)
Nyumba je(Iiiihh)
Jamaaani)×2