Music: Salfa Music
Ni tangu jana paukwa pakawa
Mambo ya jana yalikuwa yakawa
Usijiweke kwa mambo ya dunia
Ahadi zao ni kama kupuliza gunia
Nasema huyu si wako pengine ni wake
Wengi walisha tabiri kwamba ndio hivii
Malenga walisha kariri bana sio Siri
I say
Shika yako nafsi
I say
Shika yako nafsi ii
I say shika yako basi
I say shika yako nafsi ii
Tusiwache time itupite
Bado tuna saa
Ya kuleta ka difference
The darkness you face
From the start to the end
The struggles and stress
Ongoja ooh don't you leave
Hi journey sio mbali namii
I say
Shika yako nafsi, (oooh)
I say
Shika yako nafsi ii
I say shika yako basi
I say shika yako nafsi ii