Bad boy but me i'm not criminal Nakula nyama Ila me sio cannibal I make you vibe maximum sio minimal All I do all ma shit hit international
Lemme give you introduction naitwa papito toka a town miliman I'm d King of seduction yeah i'm super fine all ma drip is original
Wahuni wahuni Mko wapi watoto WA town Wapi tunakula IO mitungi Wapi tunabamba izo gauni Yeeehh Wahuni wahuni Mko wapi watoto WA town Wapi tunakula IO mitungi Wapi tunabamba izo gauni
Its okay Tushaikusanya mitonyo Tulichowafanya NI konyo Mkutano NI masaki NA bonyokwa Upo titi upo nyonyo
Kwa style hii Mali itaisha bila daftarii Life linachange boy usikariri Usitabiri Jembe langu la kulima tu me sipalilii
Ouuh my gosh Chop ma goddamn cash Coz you got sweet nyash Less go to lubumbash
Wahuni wahuni Mko wapi watoto WA town Wapi tunakula IO mitungi Wapi tunabamba izo gauni Yeeehh Wahuni wahuni Mko wapi watoto WA town Wapi tunakula IO mitungi Wapi tunabamba izo gauni