Music: Umoja Sounds Lyrics: Mbithi Kesha - Umoja Sounds feat. Mbithi
Intro Umoja Sounds
(Verse 1) Yeah! Na Tumefika very late kwenye party lakini luku ni latest unaweza jua na vile tuna kunywa ladies Me nala bata hivi leo sikuli zege Nataka nisome misemo kwa vitenge
Zikitingika za kulia na kushoto waiter new comer analeta mabeer moto Na nyama tunachoma nanawa maji ya moto Ni kushiba na kulewa na tabia za watoto
Pre-Chorus Hela kidogo naishi kama mascammer (Mama sey mama saa mama makumsa) Mavijana wanasele na wababa wamama (Mama sey mama saa mama makumsa) Chupa tunamimina ju si si malearner (Mama sey mama saa mama makumsa) Wameshikwa na fomo ju hawakuja jana (Mama sey mama saa mama makumsa)
(Chorus) Tuna Mapopozi, popozi Mapopozi Kesha za kipopo popozi Mapopozi mapopozi Kesha za kipopo Popozi Mapopozi Mapopozi Kesha za kipopo Popozi Mapopozi mapopozi Kesha za kipopo
(Verse 2) Yo! Kama kawa kuna after party Lijoto linafanya watu wavue shati Ona vai thina wa mbesa yani makaratasi Tuko keja lakini utathani tuko Masaki
Namix sharubati na makonyagi Mle kwa bafu kuna umati ipo mabangi Na paparazzi wanachoma mafoto moto Wale mambleina wana ufala mi sipendangi
Pre-Chorus Hela kidogo inafanya naishi kama mascamer (Mama sey mama saa mama makumsa) Mavijana wanasele na Wababa Wamama (Mama sey mama saa mama makumsa) Chupa tunamimina ju si si malearner (Mama sey mama saa mama makumsa) Wameshikwa na fomo juu hawakuja jana (Mama sey mama saa mama makumsa)
(Chorus) Tuna Mapopozi, popozi Mapopozi Kesha za kipopo popozi Mapopozi mapopozi Kesha za kipopo Popozi Mapopozi Mapopozi Kesha za kipopo Popozi Mapopozi mapopozi Kesha za kipopo
Outro