Lyrics: IDRISA SAID ABDALAH/Francis Patrick/David Joseph Makoye
Music: IDRISA SAID ABDALAH/Francis Patrick/David Joseph Makoye
Weee
Acha niseme yale yalofanya niwe nawe
Nasema leo
We eweee
Ulinifanya mfalme
Ukanipa moyo nitawalee
Nasema leoo
Naa..
We ni langu fungu amenipa maulana
Aah nana naaa
Naa..
Atuepushe na majungu
Ya binadamu maana
Ni mengi sanaaa aaagh!
ALOOH ALOOH ALOOH
itakuaje nkikukosaa
Moyoni mwangu nshakuweka
Na nana aaagh!
ALOOH ALOOH ALOOH
itakuaje nkikukosaa
Moyoni mwangu nshakuweka
Na nana aaagh!
Nimeamini raha ya upendo
Ikipotea huwa karaha
Na we ndo nguzo yang ya upendo
Ukiondoka ntaanguka
Siko tayar kulivunja pendo lisilozibika
Na moyo utatoboka
We ukija kusepa
Naa..
We ni langu fungu amenipa maulana
Aah nana naaa
Naa..
Atuepushe na majungu
Ya binadamu maana
Ni mengi sanaaa aaagh!
ALOOH ALOOH ALOOH
itakuaje nkikukosaa
Moyoni mwangu nshakuweka
Na nana aaagh!
ALOOH ALOOH ALOOH
itakuaje nkikukosaa
Moyoni mwangu nshakuweka
Na nana aaagh!