Nilewe

Najua unaeza hisi nimepigwa limbata AMA NI nyota yangu imefifia Sio siri me sifichi nmechangwa kama karata Naumia maana yeye amekusudia
Moyo ameuacha taabani Sielewi nabaki NA nani Nmebaki kumbukia ya zamani Maana Kiza kikali yaani totoro totoro Kula kunywa kwenye godoro godoro Labda ntakuwa sawa tomorrow tomorrow Hali irudi shwari mororo mororo Ila for now
Si bora nilewee Ohh yeah Leta pombe nilewe Nilewee
You know Nikikueleza utakataa Vyote alofanya huyu kadada Dakika Ina sekunde sitini Nimeshabaini Nishamsamehe Mara saba sabinii
Oya jamani nalewa Leo Njoo nibebeni nshalewa miioo Si punde naangusha kilioo Yashapotea matarajio