Sikiliza (Live)

Lyrics: Israel Mbonyi Music: Israel Mbonyi Verse: Kwa Sasa ya dunia kwangu Ni kama yameangikwa Yaliyokuwa faida nayahesabu kama hasara Sikiliza dunia Ujue kwamba mimi si wako.
Chorus: Nimehesabiwa haki kwa damu yake mutetezi Jina langu Limeandikwa, kwenye kitabu cha uzima Sikiliza dunia , ujuwe kwamba mimi si wako
Verse: Sasa maumivu Hayanitishi Nitayasahau kwa Yesu Haijadhihilika nitakavyokuwa Tutafanana akidhihilika Éwé mbingu Yakili Haya maneno Ayiweeeee, Kweli dunia Mi si wako