Lyrics: Cleva Junior
Music: Cleva Junior
Lyrics:
(Chorus)
(Mashabiki nawarusha
Ehee
Wavimba macho daily wanatetema
Fire Naburn
Mashabiki napagawisha
Enhee
Kwa wenye chuki sumu kwao nazitema
Nawasha moto)×2
(Verse-01)
Hili ni pini kali
linatumbua vikali
Mtu mzima naona mbali
Situmii darubin
Usipopenda mambo shwali
Mi ninaspeed kali
Ukidandia utaumia vikali
Usiku mi silali
Sana ninatafakali
Kuandaa pini kali
Mashabiki lukuki
mnishangilie vikali
Na kwa pigo hili
Mamluki Katfieni mbali
Wengi huniita moto
Natisha kama kifo
Komando kipensi
Hatalini sina mchezo
Hapa simba hakohoi
Akijaribu atalala hoi
Kaliua blood
Ukinitouch tu hutoboi
Life umeshindwa ganga
Unakalia kusengenya
Asilimia najiongeza
Wala kwangu hautaweza
Hiki ni kisiki
Kwa nyukilia wameshindwa
Kwa risasi utaweza?
SHIIII
Acha kelele kubato nami hautaweza
(Chorus)
(Mashabiki nawarusha
Ehee
Wavimba macho daily wanatetema
Fire Naburn
Mashabiki napagawisha
Enhee
Kwa wenye chuki sumu kwao nazitema
Nawasha moto)×2
(Verse-02)
Wengi mtanuia
Nyota kunizimia
Ila tasimama daima
Sitorudishwa nyuma
Kwa nguvu za maulana
Yani mpaka kiama
Kwa kishindo taungurumaaa
"USIOGOPE"
Mzuka napandisha
Mashabiki napagawisha
Ubongo nazungusha
Dunia kuielimisha
Japo maadui wengi
wamenizunguka
Nami:
Nina mbinu nyingi za hao kuwaepuka
Wattisham rukaruka
Mimi nazidi nyenyuka
Kunapopambazuka
Mimi nazidi furika
Watazid hanging
Chini sitodhuka
Riadha hawatonishika
Mlimanj mi sitochoka
Ni zaidi ya joka
Kwa sumu sito kaika
Wana mwendo wa kinyonga
Washindishane na sunbura
Nooo
Huo ni ujjnga
Wamedanganywa na mganga
Ni lini na lini
Vipofu waone mwezini
Wata anguka utelezini
Matope yawajae mwilini
Ni bora wakimbie mitini
Labda wale zaituni
Hawatong'ara umemeni
Wakigusa waya ulowazi
Watakaushwa kama lami
Inabidi watie saini
I AM THE NUMBER ONE
Uvunguni siinami
Hata kama kuna nini
Ama kweli mi moto
Maradufu ya furiko
Naintapreti ndoto
Mashabiki nawapa joto
(Chorus)
(Mashabiki nawarusha
Ehee
Wavimba macho daily wanatetema
Fire Naburn
Mashabiki napagawisha
Enhee
Kwa wenye chuki sumu kwao nazitema
Nawasha moto)×2