Na Iwake (Remix)

Lyrics: Elly Omondi/Nelson Liena/David Omondi Music: Elly Omondi/Nelson Liena/David Omondi [Intro: Nelly The Goon] Man a badman ting Respect to di maximum
[Chorus: Nelly The Goon] Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua (Remix...)
Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua
[Verse 1: Madtraxx] Yeah, calling all units over Ah, shambulizi na wahuni over Ah, warembo kutoweka kesi serious Eti wanarudi bila chupi au sindilia
Like-- hiyo ni petroli ya mashini Bless my room ka Nazizi Nianike hii mattress kama wiki (itabidiii)
[Verse 2: D'More] Burn, burn, Ibra seti shash Chain, chain, mali iende round Kitu safi toka South Rastaman what a gwaan Deep, nawadigida waroro wakitikitaa
[Chorus: Nelly The Goon] Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua
Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua (Remix...)
Aiyaya na iwake Eh eh eh na iwake Eeh eeh na iwake Aah aah na iwake
[Verse 3: Nelly The Goon] Sina pressure ka ni manzi amebeba Ka ni miti itabidi nimesare ketepa(ala) Sina pressure ka ni manzi nakemba Nina chuma inaeza lala leo mpaka December(ala) Attitude ka mode wa Kenya Kunipita itabidi umesaka mwakenya
[Verse 4: Mejja] Aah dunda leo imenibamba joooh eeh Niko na dem amebeba madiaba jooh eeh Amenitoa kenyamo ananishika shika Amerarua mpaka shati ameanza kunilamba Ashadai achaaa...acha kuachaaaa Yeah Okwonko
[Chorus: Nelly The Goon] Na iwake(aiyaya) Eeh eeh na iwake(aiyaya) Eeh eeh na iwake Eeeh na iwake
Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua
Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua
[Verse 5: Benzema] Ni Alejandro nilihama Dago Nimebuy mansion kando ya Pango Kuna graduation ya boy vajo Sai ni chairman wa Mafisi Sacco I love you na madem kama thao I want you na ma bff wao
[Verse 6: Kid Kora] Me I me, I me I need a bitch Me I need a galdem, me I need a freak Simba de gal but the bomber be thick She can handle a man with an 8 inch stick Ngoma ni noma na remix ni kali Washa kashada na washa iwake
[Chorus: Nelly The Goon] Mimi ka ni beat naua(Remix...) Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua
Mimi ka ni beat naua Mimi ka ni shash najua Mimi ka ni vajo nyandua Ka ni sape nafua Ka hujui utajua
Aiyaya na iwake Aiyaya na iwake Uiiiii...