Music: Marcus Jerome Rwelamira
Najicheki kwenye kioo na-o-na mabadiliko
Nawawashia moto wanadhani me ni jiko
wanadhani niko huko kumbe huko mimi siko
Nimekuja kivingine nimebadirisha mzigo
Kabla sijauza roho yangu bora niuze ata figo
Natembea na cha moto siingii kwenye ulingo
Ikishindikana legal basi itafanyika illegal
Deliveries kibao nazidi kutanua wigo
Toka chini ya roho yangu nawachukia tigo
Sjachagua aya maisha yamenichagua mimi
Walidhani ni mwingine hawakuamini kua ni mimi
Nimeswitch muonekano nishauga umaskini
Nimepindua matokea kwene dakika ya tisini
Na mtazamo wa tofauti siyumbishwi na madem
Kabla sijamwitaji dem kwanza naitaj frame
nivokua mnyonge Sikulaumu mtu nilijiblame
walikua n'chukulia poa walikua wamenicrame
Mazingira mapya kweli hii ni level nyingine
maneno yao hayawezi fanya mimi nisile
Nakaa kimya sio kwamba sina cha kusema
Nawaona nawajua wasiontakia mema
Najitajitahidi n'siwe msela mwenye story nyingi
Kila mtu anaforce anavojua aingie kingi
mashindano ya wakubwa hii ni bigleague
Nikiitwa kwenye show n'taka 6 figs!!
Najicheki kwenye kioo na-o-na mabadiriko
Nawawashia moto wanadhani me ni jiko
wanadhani niko huko kumbe huko mimi siko
Nimekuja kivingine nimebadirisha mzigo
Kabla sijauza roho yangu bora niuze ata figo
Natembea na cha moto siingii kwenye ulingo
Ikishindikana legal basi itafanyika illegal
Deliveries kibao nazidi kutanua wigo
Namsumbua starring me ndo jambazi kuu
Nanunua na kuuza naongeza cha juuu
Me mfanyabiasha ndani ya tie n suit
Mama alitoa chozi alivosikia graduuu
Nimepiga hatua kubwa itakua ni mguu
Kila wanaponiona wanasema duh
wakiniona wanaishia tu kusema duh
ahhh ahh ahhh kumbe nyie mnataka hivi
ahhh ahh ahhh sipo kwenye group nimeleav
kaz kaz piga kazi kama naitwa steve
bora wawe vipofu wasinione naachieve
Siwezi sahua ulichofanya ila nshakuforgive
ukiwa broke unachekesha kama datgirlviv
nilikua natoa so sishangai nikireceive
Kazi na dawa napambana kutuliza maumiv
nilijua ntablow muda wote n'kua bomb
mazingiria yalinipush sikua na budi kupeform