Addicted

Lyrics: Levi Dee Music: Levi Dee mapenzi naogopa naogopa sana Maumivu nahofia nahofia maana Sijawahii fikiria tajipata bwana
Ona vile umeumbikaaaaaaaaa.
I need a therapist coz I'm addicted to you
Umetokea tu umejuaje nina kutuu kutuu Kwani umetumwa ona vile umepiga lukuu lukuu Mimi sitaki weh wachaa.... Lakini mapenzi Yana washa. Mbona umekuja Sasa... Tena umekuja haraka..
Ona mapenzi yananoga Kwangu umekwama unafanya ninanona You are in control wewe ndie mwenye Honda Dereva wa mapenzi Fanya vitu ninangoja Unakaa fiti kuku Wacha baby tricky Nikikosa Dishi mpenzi wewe skuma wiki Mimi sikufichi akili umeifanya chizi You make me wonder ama wewe ndiwe jini ni wewewewew
Mimi sitoki eeh hapa Kwamana mapenzi yameni nasa.