Lyrics: Mwasiti Almas
Music: Mwasiti Almas
Na nikikunyonyesha tulia
Ooh Ooh Ooh
Naona manyunyu ,naona mvua kwa mbali
naona yajayo,naiyona furaha ya ndani
why me,why me ,why me ooh
why me,why me,why me
Why me,why me,why mee
the way u love me wewe
Utamu mpaka kwa roho
the way u love me wewe
kwa wengine weka kauchoyo *2
Yoh goddess,Rosaree
boy u like me whine on ur body
butt on ur body
Give u that boom boom
like no other body
See how me whining,give u that loving it
Imma give you that good lovinβ
mapenzi ni safari,basi nauli nitalipa
jifanye Ronaldo nijifanye kipa papaa
mi mwenzako ukinishika nafika kileleni hata nikipanda tipa
Nikikushika shika tulia
Nikikutomasa tulia
Nikikukatikia tulia
why me why me why ooh
Why me why me why mee
the way u love me wewe
Utamu mpaka kwa roho
the way you love me wewe
Kwa wengine weka kauchoyo *2
Ukilenga hukosagi
mi kaseja mdakaji (Wayaaa)