Lyrics: Goodluck Gozbert/Timothy Boikwa
Music: Goodluck Gozbert/Timothy Boikwa
It’s a good morning
Siku Poa Kule niliko
Mungu Katenda
It’s a Better Day
Siku sawa
Mungu wangu Amenikumbuka
Hivi ni nani angeju (Angejua), Mimi Ningeku (Ningekuwa)
Nani Angeo (Angeona) Yale Mungu Angete (Angetenda)
Vile walijua mimi Nimemalizna na Mungu (Mambo Bado)
Hakuchoka Alinyamaza Tu (Na Bado)
Nilipigia marafiki sana,meseji kwa sana,Hangaika sana na Sikujibiwa
Nikaomba sana,Walicheka sana,Ila Leo Bwana Amenikumbuka
Nashukuru,Shukuru Haukuzima Moyo,Kwenye Mapito Nilipona Bado
Nimesamehe Maadui Zangu
Sasa najua Kwenye Kupata pia kukosa Bado Mungu ni Mungu
Tena Najua Kila Mshindi ana pambano ni lazima Ashinde
Na Wale wanajua wewe umemalizana na Mungu (Mambo Bado)
Hakuchoka Alinyamaza Tu (Na Bado)
Wale wanajua wewe umemalizana na Mungu Wako (Mambo Bado)
Hajachoka Amenyamaza Tu (Na Bado)
Na Wale wanajua wewe umemalizana na Mungu Wee (Mambo Bado)
Hajakuacha Amenyamaza Tu (Na Bado)
Na Wale wanajua wewe umemalizana na Mungu (Mambo Bado)
Bado Bado Bado Bado (Na Bado)
Ukitembelewa dhiki watakukataa,Si upatane na Mungu awakishe Taa
Na sio Mabest,Ma boss,Watu wana feki Kwenye Cash Forget Watu Sio Watu
Si Ma Best Ma Boss Watu wana feki Kwenye Cash Forget Watu Sio Watu, Si Ma Best