Lyrics: Baraka Shujaa
Music: Pablo Fernandez
Wanajuaga, tunavofanya
Daily ni shwari
Tunawatwanga, kucha matanga
Juu sisi hatari
Niwasonge mbalii.
Juu sisi hatare
Juu sisi hatare
Niwasonge mbalii!
Wanajuaga, tunavofanya
Daily ni shwari
Tunawatwanga, kucha matanga
Juu sisi hatari
Niwasonge mbalii.
Juu sisi hatare
Juu sisi hatare
Niwasonge mbalii!
Wanajuaga, tunavofanya
Daily ni shwari
Tunawatwanga, kucha matanga
Juu sisi hatari
Niwasonge mbalii.
Juu sisi hatare
Juu sisi hatare
Niwasonge mbalii!
Wanajuaga, tunavofanya
Daily ni shwari
Tunawatwanga, kucha matanga
Juu sisi hatari
Niwasonge mbalii.
Juu sisi hatare
Juu sisi hatare
Niwasonge mbalii!
Tunawambia wasonge mbali aaooh
Mugogo! you know that!
Oya wewe tahadhari wewe
Cheki jitume wewe, mi najituma wewe
Sitaki mi shida zinitokezee
Nafasi nlopata nisiipotezee
Wajomba kitani niwadokezee
Mashairi mazito vijana wazee
Dunia ni pool free njoo uogelee
Wakiplay over mi natake over
Maishaidi ni wengi ka Jehovah
Dada zao wakibend over
Mugogo nawateka ka hangover
Wakiplay over mi natake over
Maishaidi ni wengi ka Jehovah
Dada zao wakibend over
Mugogo nawateka ka hangover
Mugogo taking over on this one
we be happening! Let go!
Baraka the lyrical beast lyrical fit
Dropping the lyrical hits
Boos, see how Iām Killin the beats
Straight out the ghetto Iām repin the EAST
Wengi wamekuwa wakitaka jua
Wapi natoka Sabubu ngoma nakamua
Navojua, hawataki kuona nkitusua
Wanga kibao hapa chini ya jua
Ila chunga sana kama hujui kuswim
Maisha ni cycle ka rime
Chachu ka ukali wa ndim
Jishtuke usipate wazim
Usipate wazim wewee
Ila chunga sana kama hujui kuswim
Maisha ni cycle ka rime
Chachu ka ukali wa ndim
Jishtuke usipate wazim
Usipate wazim wewee
Wanajuaga, tunavofanya
Daily ni shwari
Tunawatwanga, kucha matanga
Juu sisi hatari
Niwasonge mbali
Juu sisi hatare
Juu sisi hatare
Niwasonge mbalii!
Wanajuaga, tunavofanya
Daily ni shwari
Tunawatwanga, kucha matanga
Juu sisi hatari
Niwasonge mbali
Juu sisi hatare
Juu sisi hatare
Niwasonge mbalii!