Lyrics: Fredrick Komba Albert Music: Kevin "Provoke" Omondi Okech/Ambrose Akula Akwabi Verse1 Nyumbani wanataka nifunge ndoa Wanachojua ukikua inakubidi kuoa Wanashindwa kuelewa kuwa enzi zao Ni tofauti na sasa ka haujatoboa
Sikuhizi kila kijana anataka kuoa na kuolewa Maisha ni yangu sizifati trendi Kadi zenu nazipata ila michango ikichelewa Hatuna kitu sio kama hatupendi
Babu yangu anasema amenichoka anazidi kuzeeka afu mjukuu sina mpango Anahisi hata nikiimbiwa vipi nitakua na tatizo nyoka hatoki ndani ya pango
Namwambia sina haja ya kuweka bango mjini mi niko sawa Low key hizi pini ni nyingi kama kawa Squats kwa wingi afu gym sina nukta Kelele za mahaba nazimute kikinuka
Mi sitaki neighbors to know my name Kujifanya mjinga babu that's my game Ila ka unataka nikuoneshe mi nani Nah! That's not my game
Verse 2 Dada zangu wanaolewa wanangu washaoa Msichana niliyempenda kuna mjanja ashang'oa Support utapewa ukitangaza ndoa Ila sio mtaji wa hii kitu inatoa
Wana wengi kwenye reli Kunilazimisha ndoa ni kama kunifosi Ili nifeli Sisemi kwamba I don't wanna marry Wanangu kadhaa washanichana bro this shit is scary
I know, maisha yao siyo yangu Naishi maisha yangu Utafika muda mama hii sio time yangu Ndiomaana nimechill sitaki pupa Nyama wale wengine mi waniachie mifupa
Nishasema sitaki neighbors to know my name Kujifanya mjinga mama that's my game Ila ka unataka nikuoneshe mi nani Nah! That's not my game