Haya Mapenzi

Lyrics: Ivan Stephane Mahinyila Music: Salim Ali Hata kama Nikisema nikupende (nikupende) Utanitesa wewe Hata kama Nikisema nikupe wangu moyo Utanitesa wewe
Kila kitu nikakwenda na muda baby Ukweli huja mara chache Haya sio mapenzi bali niutapeli Ukanifanya mimi nidate Ushanitesa hata nikiongea nawe unasepa baby Usiku nakesha nimechoka best we break up baby
Heee Haya mapenzi kilasiku moyo unauma Haae Umevunja tenzi ahadi zote zimebuma Heee Haya mapenzi kilasiku moyo unauma Haae Umevunja tenzi ahadi zote zimebuma
Yani tatizo moyo unauma Itafika mahali nitasimama Itafika mahali nitasimama Itafika mahali nitasimama
Yani tatizo moyo unauma Itafika mahari nitasimama Itafika mahari nitasimama Itafika mahari nitasimama
Nilishakupa moyo mwanzo ukauchezea chezea kwa unadhifu wa moyo wangu ukaniongopea ongopea Omotola baby aaaheeeeeeeeeee ha Shame had to end aaaheeeeeeeeeee
Sometimes when i check check her Because wanna make up we brake up Sometimes when i check We brake up baby alelele

Heee
Haae