Kitu Kizito

Lyrics: Haitham Ghazal Seif Music: Haitham Ghazal Seif Kitu Kizito! Kitu Kizito! Kitu Kizito! Kitu Kizito! Show kali haiendi Bila stimu Nivutie mneli tungi upandwe mzimu Mwili wangu leo ugeuze gym Nikazie pushup baba twanga kinu Angusha baba baba Kitu kizito! Ya moto moto leta Kitu kizito! Kushoto kulia kata Kitu kizito! Aiyayaiyaaa Kitu kizito! Midadi ishanipanda baba Angusha unakotaka weka Isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa
Aah! Misamba baba nakupigia yoga Unyevu wa kumwagilia mboga Sukari ya Bi. Zuchu inangoja Yangu ina tv fanya unga tu decoder Nikunje baba jinafasi Nipige roba amba kati Ukisikia milio baba ongeza kasi Niite majirani waulize msiba wapi?
Angusha baba baba Kitu kizito! Ya moto moto leta Kitu kizo! Kushoto kulia kata Kitu kizito! Aiyayaiyaaa Kitu kizito! Midadi ishanipanda baba Angusha unakotaka weka Isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa
Verse 2 Kontawa Mama mama mama mama niko vizuri Kwanza sifiki killeni maana sina nauli Si unaniju vizuri nikilianzisha shughuli Ukifa kifo cha mende mi nakuchimbia kaburi Asa we Mamacita punguzaga kunitega Maana huku chini Nna kichwa hakina mabega Nasikia uteja Mama naskia uteja Leo Nna Kitu Kizito vipi utaweza kubeba?
Nikunje baba jinafasi Nipige roba amba kati Ukisikia milio baba ongeza kasi Niite majirani waulize msiba wapi?
Angusha baba Kitu kizito! Ya moto moto leta Kitu kizito! Kushoto kulia kata Kitu kizito! Aiyayaiyaaa Kitu kizito! Midadi ishanipanda baba Angusha unakotaka weka Isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa