Music: Samwel daudi Ulivyo njoo kwake Ulivyo njoo kwake yeye Njoo kwake yeye Hivyo hivyooooo
Usione tuna furaha furaha yetu ni Baba Mungu wa miungu Usione tuna furaha furaha yetu ni mwana Mfalme wa wafalme
Leo tuna furaha furaha yetu ni Baba Leo tuna furaha furaha yetu ni mwana Hatuko ndani ya club wala kumbi za starehe Tuko hapa kwetu tunachofanya ni sherehe Sifa kuabudu hiyo kwetu starehe Atukuzwe mungu Baba anayetupa starehe Furaha isiyo kifani kwake tucheze Shida matatizo yeye tumuombe
Furaha tunafurahi tufurahi sana ni vyema tufurahi katika Bwana Kumtumikia Mungu sio ushamba mimi niko kwake ndio maana natamba najigamba natamba Sio mchezo mchezo Njoo kwake Bwana atakupa vyote kama alivyosema Natamba
Usione tuna furaha furaha yetu ni Baba Mungu wa miungu Usione tuna furaha furaha yetu ni mwana Mfalme wa wafalme
Makwazo hayabudi yanabudi kutokea lakini ole wake afanyae kutokea Tabia za kwenye party hapa kwetu haifai stopisha vinywaji Leta mkate na divai Dj taratibu huu mziki gospel hip-hop cheza taratibu kuna step na step Hey brother Sam hebu remove your cap hey sister Jude hiyo skirt ni fupi Hapa sio mahali pa kufanya show off wala si mahali kuonyesha ubishoo
Furaha tunafurahi tufurahi sana ni vyema tufurahi katika Bwana Kumtumikia Mungu sio ushamba mimi niko kwake ndio maana natamba najigamba natamba Sio mchezo mchezo
Usione tuna furaha furaha yetu ni Baba Mungu wa miungu Usione tuna furaha furaha yetu ni mwana Mfalme wa wafalme
Mungu wa miungu Mfalme wa wafalme Mungu wa miungu Mfalme wa wafalme