Music: Adamu Salumu Mshamu/Hassani Nassoro Mohamed
#INTRO
Sunny voice
Adasco mtu mbaya
#VERSE
Etii ingekuwaje maisha bila mapenzi nawaza ingekuwaje(Nonono)
Ingekuwaje tuishi kiza bila mwezi duniani ingekuaje(Nonono)
Itakuwaje nikikukosa mpenzi nawaza itakuwaje(Nonono)
Sitoenda race hata kesi utosikia na sitaki nikukose mmh
#VERSE
Wewe apo nitapanda nawe kilimani
Mimi apa utashuka nami kilimani
Siko radhi kuona unapitia shida
Na wakati wote tulichumia juani
Tanzania pia nchi yetu ya amani
Ata mimi nawe tutaishi kwa amani
Kugombana kwenye penzi kawaida ooh baby
Mhh
#PRE-CHORUS
Deka unavyodeka kama mtoto
Nitakubembeleza mimi ni wako oooh
Nakusii nitakupa penzi moto moto uuu
Mapenzi kupenda sio mchezo oooh
#CHORUS
Baby Usiende mbali na mimi(mimi bado nakupenda)
Usiondoke mbali na mimi(mimi bado nakupenda)
Usiende mbali na mimi(mimi bado nakupenda)
Usiondoke mbali namimi(mimi bado nakupenda)
#VERSE
Nitajenga dunia ya kwetu peke yetu
Kivyetu nikaishi mimi na wewe
Nita force sasampa kila siku
Usiniponyoke nikabaki mwenyewe
#VERSE
Umeniteka mateka jambazi ni wewe
Mtuhumiwa sina usemi
Roho yangu ya kwako na moyo nakupa
Sina uwezo wa mamilioni chukuaa
Robo saa haitoshi nusu saa
Hata masaa hayatoshi kusema na wewe
Robo saa haitoshi nusu saa
Hata masaa hayatoshi nusu saa aaaa
Hata masaa hayatoshi kusema na wewe
#PRE-CHORUS
Deka unavyodeka kama mtoto
Nitakubembeleza mimi ni wako ooh
Nakusii nitakupa penzi moto moto uuh
Mapenzi kupendana sio mchezoo ooh
#CHORUS
Baby usiende mbali na mimi(mimi bado nakupenda)
Usiondoke mbali na mimi(mimi bado nakupenda)
Usiende mbali na mimi(mimi bado nakupenda)
Usiondoke mbali na mimi(Mimi bado nakupenda)
#OUTRO
Mtu mbaad