Lyrics: BMV Goox/Skinny Gean Music: Pepa me na get high nikifly ka rubani look into my eyes,utajua rada ni Gani usichachishe inaeza katusunda mashakani cheza cheza tu na rada ukiwasha ngwayi ka gode ingekua gate pass ya kukua rubani ningehitimu adi mode akose maswali ,fly high adi Dubai,fly high adi Mumbai, washangae rada ni gani,Niko high ka rubani ka gode ingekua gate pass ya kukua rubani ningehitimu adi mode akose maswali ,fly high adi Dubai,fly high adi Mumbai, washangae rada ni gani,Niko high ka rubani ukitokea na chwani hizi rima hukosi Mali doh za biz ukitreat bitch Jua we ushakua nambli nacheck into your eyes na detect we ni nambli moving kama snake Kwa iyo grass Jua we ni shiesty design naji-value Jua natokea huko na pricelist Nigga Niko booked on a daily cheki iyo diary morio wangu aliniosha ganji,shit,safi kama harpic so na come strong Huezi nipata tena Ivo lurking ka gode ingekua gate pass ya kukua rubani ningehitimu adi mode akose maswali ,fly high adi Dubai,fly high adi Mumbai, washangae rada ni gani,Niko high ka rubani ka gode ingekua gate pass ya kukua rubani ningehitimu adi mode akose maswali ,fly high adi Dubai,fly high adi Mumbai, washangae rada ni gani,Niko high ka rubani Boy wangu alitry kunirusha ganji za shakes nikamtrace Alithani juu ye ni chargie siezi mkula foul kwa face Opp aliturn informer akahelp cops na my case Nilibambwa nikalipa bail fiends wakaniwelcome back kaa mase Bad bih analeta kichwa skinny me siwezi kuchase I aint got time for love all i want ni kusex Peng huniita dj vile me hummix tu kaa decks Usinidungie motonje if it aint bout the cheques Usinidungie motonje if it aint bout the money Rapper alidai ako on kumwitisha mali akaact vifuuny Roysa east na west nimekinda baggs tu kaa bunny Me ndio reason wazing hukuaga high kaa rubani