Music: Ali Mohamed Said (Nadia :) Ninachojua Uzee upo Usichana unakwenda Ule urembo haupo miaka zikienda Je utanipenda nikipata michirizi Utanipenda kikija nacho kitambi Nauliza utanipenda yangu maziwa yakilala Uzeeni Utanipenda ama utaoa tena ? (Masauti:) Oh My baby usiwe shaka mi mwenzako Nakupenda Ule urembo upo ata miaka ikienda Kwanza ndo utanoga ukipata michirizi Sio lazima flati tummy nitacheza na kitambi Hivyo hivyo nitakupenda hata kifuani pakilala Nami uzeeni utanipenda nikipata kiahara
Chorus: Nadia: Keshoo I hope utanipenda my baby Mpaka Kesho kufa kuzikana mi nawe baby Masauti: Mpaka kesho Niamini ntakupenda baby Mpaka kesho Tuzeeke na wewe my baby Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo Verse 2 Masauti: Shahidi yetu Mola Ile Siku mioyo iliposhikana Ukanipend nami nkakupenda Ndo nilijuwa milele hatutoachana mi nawe Nadia : Ujana ni moshi uko sure na mimi Tukose udosi je utakuwa na mimi For better for worse Iwe better for us Masauti: Hata tukiyumba mama Tuwe pamoja Nadia: Mi bado nitakupenda Kama kipato umekosa Kesho nitakupenda hata mgongo ukikunja Masauti: Hivi utanipenda kama mziki ukibuma Kweli uzeeni utanipenda nikipata kiharaa
Chorus: Nadia: Keshoo I hope utanipenda my baby Mpaka Kesho kufa kuzikana mi nawe baby Masauti: Mpaka kesho Niamini ntakupenda baby Mpaka kesho Tuzeeke na wewe my baby Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo