Sawa Sawa

Lyrics: Baraka Shujaa Music: Pablo Fernandez Sawa Sawa, Sawa Sawa Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa, Sawa Sawa Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Kama Kawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Kama Kawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Mziki kwetu haupotei video zimepanda bei Siku zote Saka pay akuna time ya kuslay Wapambe low wanalay nawakaba Koo apana sai Pochi Nene vanny ray Mawaki wanapave de way I got the juice sauce **** I’m on toes/ **** I’m on toes No time to loose coz Namala uboss here Rick Rozzay Mola niepushe nuksi zitoke game marathon nami kipchoge acha mi nitoke wanafki wanatana mpaka mi nitoke Mchezo na mimi kama jicho na kope Abracadabra kama babu niqqa Young sawa sawa mi shupavu niqqa Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa, Sawa Sawa Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Kama Kawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa I’m so easy easy Ila mida utanipata nimesizi Wanafreeze, sababu mi ni jinamizi My people they know That I’m keeping it real Rare kunipata mimi nikikosea Hawajui mimi nakotokea Niko focus kamwe siezi potea Sawa sawa Bas I’m on the air Rare kunipata mimi nikikosea Hawajui mimi nakotokea Niko focus kamwe siezi potea Siezi potea yeah! Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa, Sawa Sawa Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Kama Kawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa Sawa Sawa okay, Sawa Sawa all day Sawa Sawa tunaifanya bila dawa!