Music: Fredrick Albert Komba Lyrics: Fredrick Albert Komba Verse1 Sunset boulevard, how I make it here? Niko Ambako where the sunset is I'm gonna make it clear Nikiondoka nitaacha Historia, I'm here Natengeneza ndoto ambazo wengi wanaziona kama utopia
Nachofanya ni eternal hype Staki external hype najenga ufalme hii ni Eternal life Maisha ya milele after this Na hii ni kwa hundo generations after this Ndomana uvivu nimeutupa kwenye Inferno hype's
Sitaki mchezo maana, nataka timiza ndoto ambazo mama alishindwa Kutimiza, kuhusu ye Baada ya kupata mimba Maana focus ilihamia kwa kitinda mimba Ndomana kiti cha ufalme ndio kitu na winda Ka kiliibiwa Nataka kuWinback Ile time inakuja yangu ya ku lean back
Chorus Mi najenga legacy yeah! Nikiondoka naacha new mark
Verse 2 Nimetoka Mtaa na ndoto za kuwa star Wanangu kibao ndoto waliziacha bar Nikachukua neno bar na kuanza kutema bars Sahivi napeleka rap nzima beyond bars
All I need is green kama space Ya kericho Mungu kanipa uwezo wa kuziangusha walls zaidi ya Kuta ya Jericho I'm here and I'm ready Nguvu ndani yangu itakuua if you ain't ready
Nahitaji more ndomana nafanya more Achana na Dewji, tuongelee more investments Kuhusu maisha na Namna ya kupata placements Ili kesho ukisepa no replacement
Born to be great Ndomana na pambana kwa hii space Njaa inanipa riba kwa kila Race I'm blessed Kwa kila place I'm in Nafanya maajabu who's best Who's next? I'm here