Hello what a morning? Blessings kwa Jah tuko alive, we are lucky I’ve seen war, I’ve seen pain, are we lucky? World full of tears can’t explain, Kids are dying unlucky Sad, sad world money politics and fame, Tumesahau nini humanity, Freedom! freedom! Are we free? Are you free? They say peace is priceless but the price is so high Imekuwa ngumu kuwa hai Not that the other high, Bado nipo nawaza why? Poverty! Poverty! it’s getting rich or dying trying, Thamani haipo kwenye utu, watu wanataka maslahi, Kill people for power and power kills people, Balance has disappeared wapi amani ilipo?, Justice is the solution but the conclusions are injustice, Politicians wako polluted uongo wanaufanyia practice, Baada ya tuu wa kuwachagua namba zetu zinawekwa Blacklist, Tusigombane kuwafurahisha wagombea, Tupendane hizo ndiyo blocks za kujengea,
Amani, amani, amani Amani amani amani yeeeeeeee amani amani x 2
Hakuna haja kuwa political let’s just be logical Kwenye njaa na shida ya maji vipi upeleke silaha? Kwenye ujinga na maradhi vipi upeleke tamaa? Kwenye haya maneno yangu kuna tumaini limejaa, Sifanyi hii kwa ajili yangu tuu, ikikugusa ukishare na mwengine itafaa, Tuvumiliane hiyo ndiyo miguu ya kujongea, Tushikamane tukifika juu hatutapotea, Tukiwa wengi kila jaribu litangoja, Mabadiliko huanza na mtu mmoja mmoja, Mimi, wewe, yule, sisi sote kwa Pamoja, Tuungade kudumisha tunu hii mara moja, So, here I pray for my Nation and its people I don’t pray for money, fame kuvipata ni simple Nilipo, ninatamani Frida huyu asibaki the same, Niwepo nisiwepo remember my Surname…………………………Amani
Amani, amani, amani Amani amani amani yeeeeeeee amani amani x 2