Hapa Kazi Tu

Lyrics: Cleva Junior Music: Cleva Junior Lyrics:
Maisha ni kuangaika Kupambana Mwanaume hasifiwi kula Ila kazi tu
Yes Eeeh
(Chorus) (Japo leo nimekosa Labda kesho nitapata Sikati tamaa Nazidi komaa Kwangu mimi "Hapa Kazi Tu")×2
(Verse-01) Maisha yangu Kwa kweli siutani Hayaeleweki asilani Ila: Daily mi nakata rufani Ipo siku tawini Ona: Zege namwaga Maji nabeba nauza Ili nimake bingo
Mi nina ndoto za kumiliki meli Japo sina hata Mia mfukoni
Haijalishi nipo wapi mi nakomaa Jangwani au mwituni sikati tamaa Napambana napigana Hapa kazi tu masiala hapana
Sichagui kazi Sibagui kazi Yoyote halali mi nakomaa nayo Yeah Najua ipo siku itafika nitapata "INSHA-ALLAH" Takula bata
(Chorus) (Japo leo nimekosa Labda kesho nitapata Sikati tamaa Nazidi komaa Kwangu mimi "Hapa Kazi Tu")×2
(Verse-02) Am the first born Mi ndo kichwa Mi ndo bodi mi ndo taili Mi ndo injini
Nimezaliwa mwanaume Lazima nijitume
Beibi Don't cry usilie Futa chozi nivumilie Nipo juani mie just niombee Kivulini tukatumie
Everybody not only me Kauli mbiu Iwe tu ni kazi Wala sio kesi mkiniiga mi Sote pambana kuichapa kazi
Hata Bakhresa alianza na icecrimu Ona leo ye alivyojuu No retreat No surrender Mdogo mdogo haina kusanda
(Chorus) (Japo leo nimekosa Labda kesho nitapata Sikati tamaa Nazidi komaa Kwangu mimi "Hapa Kazi Tu")×2
(Verse-03) (Japo leo umekosa Labda kesho utapata Usikate tamaa We zidi komaa Kwako wewe "Iwe Kazi Tu")×2
(Chorus) (Japo leo nimekosa Labda kesho nitapata Sikati tamaa Nazidi komaa Kwangu mimi "Hapa Kazi Tu")×2
Yaah Cleva Junior on the beat Via Chocolate flavour In Sharobaro re-Recordz Hainaga mchawi BK FULL BOSS THANK YOU BROTHER Sure!